Hesabu 10:28 - Swahili Revised Union Version28 Ndivyo zilivyokuwa safari zao wana wa Israeli kwa majeshi: yao; nao wakasafiri kwenda mbele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Huu basi, ndio utaratibu walioufuata Waisraeli kulingana na makundi yao, kila wakati walipovunja kambi na kuanza kusafiri tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Huu basi, ndio utaratibu walioufuata Waisraeli kulingana na makundi yao, kila wakati walipovunja kambi na kuanza kusafiri tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Huu basi, ndio utaratibu walioufuata Waisraeli kulingana na makundi yao, kila wakati walipovunja kambi na kuanza kusafiri tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Huu ndio ulikuwa utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Huu ndio ulikuwa utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Ndivyo zilivyokuwa safari zao wana wa Israeli kwa majeshi: yao; nao wakasafiri kwenda mbele. Tazama sura |