Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Hesabu 1:7 - Swahili Revised Union Version Wa Yuda; Nashoni mwana wa Aminadabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Yuda: Nashoni mwana wa Aminadabu; Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Yuda: Nashoni mwana wa Aminadabu; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Yuda: Nashoni mwana wa Aminadabu; Neno: Bibilia Takatifu kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; Neno: Maandiko Matakatifu kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; BIBLIA KISWAHILI Wa Yuda; Nashoni mwana wa Aminadabu. |
Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya kambi ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.
Na hao watakaopanga upande wa mashariki, kwa kuelekea maawio ya jua, ndio wale wa bendera ya kambi ya Yuda, kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Yuda atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.
Basi aliyetoa matoleo yake siku ya kwanza ni Nashoni mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda;