Hesabu 1:12 - Swahili Revised Union Version Wa Dani; Ahiezeri mwana wa Amishadai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Dani: Ahiezeri mwana wa Amishadai; Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Dani: Ahiezeri mwana wa Amishadai; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Dani: Ahiezeri mwana wa Amishadai; Neno: Bibilia Takatifu kutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai; Neno: Maandiko Matakatifu kutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai; BIBLIA KISWAHILI Wa Dani; Ahiezeri mwana wa Amishadai. |
Kisha beramu ya kambi ya wana wa Dani, ambayo ilikuwa ni nyuma ya makambi yote, ikasafiri, kwa majeshi yao; na juu ya jeshi lake ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Upande wa kaskazini kutakuwa na bendera ya kambi ya Dani kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Dani atakuwa Ahiezeri mwana wa Amishadai.