Biblia ya mtandaoni

Matangazo


Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya




Hagai 1:3 - Swahili Revised Union Version

Ndipo neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema,

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Lakini Mwenyezi-Mungu ameniambia mimi nabii Hagai,

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Lakini Mwenyezi-Mungu ameniambia mimi nabii Hagai,

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Lakini Mwenyezi-Mungu ameniambia mimi nabii Hagai,

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Kisha neno la Mwenyezi Mungu likaja kupitia kwa nabii Hagai:

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Kisha neno la bwana likaja kupitia kwa nabii Hagai:

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Ndipo neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema,

Tazama sura
Tafsiri zingine



Hagai 1:3
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi manabii, Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido, wakawafanyia unabii Wayahudi waliokuwako Yerusalemu na Yuda; waliwafanyia unabii kwa jina la Mungu wa Israeli.


Katika mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario, mwezi wa sita, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA lilimjia Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, mtawala wa Yuda, na Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu, kwa kinywa chake nabii Hagai, kusema,


BWANA wa majeshi asema hivi, ya kwamba, Watu hawa husema, Wakati wa kuijenga upya nyumba ya BWANA haujafika.


Je! Huu ndio wakati wa ninyi kukaa katika nyumba zenye mapambo ya mbao, iwapo nyumba hii inakaa hali ya kuharibika?


Katika mwezi wa nane, mwaka wa pili wa Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, mwana wa Berekia, mwana wa Ido, nabii, kusema,