Mimi nitakuwa mdhamini wake, umtake mkononi mwangu. Nisipomleta tena kwako, na kumweka mbele yako, nitakuwa mwenye hatia mbele yako daima;
Filemoni 1:18 - Swahili Revised Union Version Na kama amekudhulumu, au unamdai kitu, ukiandike hicho juu yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi. Biblia Habari Njema - BHND Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi. Neno: Bibilia Takatifu Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi. Neno: Maandiko Matakatifu Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi. BIBLIA KISWAHILI Na kama amekudhulumu, au unamdai kitu, ukiandike hicho juu yangu. |
Mimi nitakuwa mdhamini wake, umtake mkononi mwangu. Nisipomleta tena kwako, na kumweka mbele yako, nitakuwa mwenye hatia mbele yako daima;
Basi ikiwa waniona mimi kuwa mshirika nawe, mpokee huyu kama ambavyo ungenipokea mimi mwenyewe.
Mimi Paulo nimeandika kwa mkono wangu mwenyewe, mimi nitalipa. Sikuambii kwamba nakudai hata nafsi yako.