Wazawa wa Harifu, mia moja na kumi na wawili.
wa ukoo wa Yora: 112;
wazao wa Yora, mia moja na kumi na wawili (112);
Wana wa Harifu, mia moja na kumi na wawili.
Wazawa wa Besai, mia tatu ishirini na watatu.
Wazawa wa Hashumu, mia mbili ishirini na watatu.