Wazawa wa Adonikamu, mia sita sitini na sita.
wa ukoo wa Adonikamu: 666;
wazao wa Adonikamu, mia sita sitini na sita (666);
Wazawa wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili.
Wazawa wa Bigwai, elfu mbili hamsini na sita.
Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.
Wana wa Adonikamu, mia sita sitini na saba.