Danieli 5:24 - Swahili Revised Union Version Ndipo kile kiganja cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno. Swahili Roehl Bible 1937 Kwa hiyo ukatumwa naye huo mgongo wa mkono na haya maandiko yaliyoandikwa hapa. |
Saa iyo hiyo vikatokea vidole vya mkono wa mwanadamu, vikaandika katika chokaa ya ukuta wa nyumba ya enzi ya mfalme, mahali palipokielekea kinara; naye mfalme akakiona kiganja cha ule mkono ulioandika.