Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.
3 Yohana 1:13 - Swahili Revised Union Version Nilikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino. Biblia Habari Njema - BHND Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino. Neno: Bibilia Takatifu Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino. Neno: Maandiko Matakatifu Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino. BIBLIA KISWAHILI Nilikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu. |
Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.
Kwa kuwa ninayo mambo mengi, sitaki kuyaandika kwa karatasi na wino; lakini natarajia kuja kwenu, na kusema nanyi uso kwa uso, ili furaha yetu iwe imetimizwa.