3 Yohana 1:13 - Swahili Revised Union Version13 Nilikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Nilikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu. Tazama sura |