Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo.
2 Wafalme 4:11 - Swahili Revised Union Version Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Biblia Habari Njema - BHND Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Neno: Bibilia Takatifu Siku moja Al-Yasa alipofika, akapanda chumbani kwake na kulala humo. Neno: Maandiko Matakatifu Siku moja Al-Yasa alipofika, akapanda chumbani kwake na kulala humo. BIBLIA KISWAHILI Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala. |
Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo.
Akamwambia Gehazi mtumishi wake, Mwite yule Mshunami. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mbele yake.
Hata ikawa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; naye akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila alipopita njia ile, huingia kula chakula.