Ila sasa niletee mpiga kinanda. Ikawa, mpiga kinanda alipokipiga, mkono wa BWANA ukamjia juu yake.
2 Wafalme 3:16 - Swahili Revised Union Version Akasema, BWANA asema hivi, Fanyeni bonde hili lijae mahandaki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema akasema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Chimbeni mashimo kila mahali kote bondeni. Biblia Habari Njema - BHND akasema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Chimbeni mashimo kila mahali kote bondeni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza akasema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Chimbeni mashimo kila mahali kote bondeni. Neno: Bibilia Takatifu naye akasema, “Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu, ‘Chimbeni bonde hili lijae mahandaki.’ Neno: Maandiko Matakatifu naye akasema, “Hivi ndivyo asemavyo bwana, ‘Chimbeni bonde hili lijae mahandaki.’ BIBLIA KISWAHILI Akasema, BWANA asema hivi, Fanyeni bonde hili lijae mahandaki. |
Ila sasa niletee mpiga kinanda. Ikawa, mpiga kinanda alipokipiga, mkono wa BWANA ukamjia juu yake.
Kwa kuwa BWANA asema hivi, Hamutauona upepo, wala hamtaiona mvua, ila bonde hilo litajaa maji; nanyi mtakunywa, ninyi, na ng'ombe zenu, na wanyama wenu.
Akasema, Nenda, ukaazime vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usiazime vichache.