2 Wafalme 3:16 - Swahili Revised Union Version16 Akasema, BWANA asema hivi, Fanyeni bonde hili lijae mahandaki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 akasema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Chimbeni mashimo kila mahali kote bondeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 akasema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Chimbeni mashimo kila mahali kote bondeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 akasema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Chimbeni mashimo kila mahali kote bondeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 naye akasema, “Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu, ‘Chimbeni bonde hili lijae mahandaki.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 naye akasema, “Hivi ndivyo asemavyo bwana, ‘Chimbeni bonde hili lijae mahandaki.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Akasema, BWANA asema hivi, Fanyeni bonde hili lijae mahandaki. Tazama sura |