Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Wafalme 4:3 - Swahili Revised Union Version

3 Akasema, Nenda, ukaazime vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usiazime vichache.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Elisha akamwambia, “Nenda kwa jirani zako uazime vyombo vitupu vingi kadiri utakavyopata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Elisha akamwambia, “Nenda kwa jirani zako uazime vyombo vitupu vingi kadiri utakavyopata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Elisha akamwambia, “Nenda kwa jirani zako uazime vyombo vitupu vingi kadiri utakavyopata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Al-Yasa akasema, “Zunguka kwa majirani zako wote ukaombe vyombo vitupu. Usiombe vichache.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Al-Yasa akasema, “Zunguka kwa majirani zako wote ukaombe vyombo vitupu. Usiombe vichache.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Akasema, Nenda, ukaazime vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usiazime vichache.

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 4:3
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, BWANA asema hivi, Fanyeni bonde hili lijae mahandaki.

Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta.

Kisha uingie ndani, ukajifungie mlango wewe na wanao, ukavimiminie mafuta vyombo vile vyote; navyo vilivyojaa ukavitenge.

Mimi ndimi BWANA, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.

Lakini watu wangu hawakuisikiliza sauti yangu, Wala Israeli hawakunitaka.

Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.

Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza mpaka juu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo