Akapiga Moabu, akawapima kwa kamba wakiwa wamelazwa chini; akapima kamba mbili za kuuawa, na kamba moja nzima ya kuhifadhi hai. Wamoabi wakawa watumishi wa Daudi, wakaleta zawadi.
2 Wafalme 1:1 - Swahili Revised Union Version Ikawa, baada ya kufa kwake Ahabu, Moabu wakawaasi Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kifo cha Ahabu, watu wa Moabu waliasi wasitawaliwe na Israeli. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kifo cha Ahabu, watu wa Moabu waliasi wasitawaliwe na Israeli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kifo cha Ahabu, watu wa Moabu waliasi wasitawaliwe na Israeli. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya kifo cha Mfalme Ahabu, nchi ya Moabu iliasi dhidi ya Israeli. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya kifo cha Mfalme Ahabu, nchi ya Moabu iliasi dhidi ya Israeli. BIBLIA KISWAHILI Ikawa, baada ya kufa kwake Ahabu, Moabu wakawaasi Israeli. |
Akapiga Moabu, akawapima kwa kamba wakiwa wamelazwa chini; akapima kamba mbili za kuuawa, na kamba moja nzima ya kuhifadhi hai. Wamoabi wakawa watumishi wa Daudi, wakaleta zawadi.
Daudi akaweka ngome katika Shamu ya Dameski, na hao Washami wakawa watumishi wa Daudi, wakaleta zawadi. Naye BWANA akampa Daudi kushinda kila alikokwenda.
Moabu ni bakuli langu la kunawia. Nitamtupia Edomu kiatu changu, Na kumpigia Filisti kelele za vita.
Maji yatatiririka kutoka ndoo zake, Na mbegu zake zitakuwa katika maji mengi. Na mfalme wake ataadhimishwa kuliko Agagi, Na ufalme wake utatukuzwa.