2 Wafalme 1:1 - Swahili Revised Union Version1 Ikawa, baada ya kufa kwake Ahabu, Moabu wakawaasi Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya kifo cha Ahabu, watu wa Moabu waliasi wasitawaliwe na Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya kifo cha Ahabu, watu wa Moabu waliasi wasitawaliwe na Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya kifo cha Ahabu, watu wa Moabu waliasi wasitawaliwe na Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya kifo cha Mfalme Ahabu, nchi ya Moabu iliasi dhidi ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya kifo cha Mfalme Ahabu, nchi ya Moabu iliasi dhidi ya Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ikawa, baada ya kufa kwake Ahabu, Moabu wakawaasi Israeli. Tazama sura |