Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 8:22 - Swahili Revised Union Version

22 Hivyo Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda hata leo. Na Libna wakaasi zamani zizo hizo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Hivyo watu wa Edomu wakauasi utawala wa Yuda mpaka sasa. Wakati huohuo, wakazi wa Libna nao wakaasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Hivyo watu wa Edomu wakauasi utawala wa Yuda mpaka sasa. Wakati huohuo, wakazi wa Libna nao wakaasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Hivyo watu wa Edomu wakauasi utawala wa Yuda mpaka sasa. Wakati huohuo, wakazi wa Libna nao wakaasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Hadi leo Edomu wameasi dhidi ya Yuda. Libna pia wakaasi wakati huo huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Hadi leo Edomu wameasi dhidi ya Yuda. Libna pia wakaasi wakati huo huo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Hivyo Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda hata leo. Na Libna nao wakaasi zamani hizo hizo.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 8:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo; Na itakuwa utakapoponyoka, Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.


Basi yule kamanda akarudi, akamkuta mfalme wa Ashuru, anapigana na Libna; maana alikuwa amesikia ya kwamba ameondoka, akaacha Lakishi.


Zamani zake, Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda, wakajifanyia mfalme.


Na mambo yote ya Yehoramu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?


Hivyo Edomu wakaasi utawala wa Yuda hata leo; wakati huo uo nao Libna wakaasi utawala wake: kwa sababu alikuwa amemwacha BWANA, Mungu wa baba zake.


Kwa kuwa Waedomi walikuwa wamekuja tena, na kuwapiga Yuda, na kuwachukua wafungwa.


Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja hapo alipoanza kumiliki; naye akamiliki miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Hamutali, binti Yeremia wa Libna.


Kisha wakawapa wana wa Haruni, kuhani, Hebroni pamoja na mbuga zake za malisho yake, huo mji wa kukimbilia kwa ajili ya mwuaji, na Libna pamoja na malisho yake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo