Maana, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa mwamuzi, hapo njiani fanya bidii kupatanishwa naye, asije akakuburuta mpaka mbele ya hakimu; yule hakimu akakutia mikononi mwake mwenye kulipiza, na yule mwenye kulipiza akakutupa gerezani.
2 Timotheo 4:9 - Swahili Revised Union Version Jitahidi uwezavyo kuja kwangu upesi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Fanya bidii kuja kwangu karibuni. Biblia Habari Njema - BHND Fanya bidii kuja kwangu karibuni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Fanya bidii kuja kwangu karibuni. Neno: Bibilia Takatifu Jitahidi kuja kwangu upesi Neno: Maandiko Matakatifu Jitahidi kuja kwangu upesi BIBLIA KISWAHILI Jitahidi uwezavyo kuja kwangu upesi. |
Maana, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa mwamuzi, hapo njiani fanya bidii kupatanishwa naye, asije akakuburuta mpaka mbele ya hakimu; yule hakimu akakutia mikononi mwake mwenye kulipiza, na yule mwenye kulipiza akakutupa gerezani.
Jitahidi uwezavyo kuja kabla ya majira ya baridi. Eubulo akusalimu, na Pude, na Lino, na Klaudia, na ndugu wote pia.
Wakati nitakapomtuma Artema kwako au Tikiko, jitahidi uwezavyo kujiunga nami katika Nikopoli; kwa kuwa nimekusudia kukaa huku wakati wa baridi.