Na nyumba yako, na ufalme wako, vitathibitishwa milele mbele yako. Nacho kiti chako kitaimarishwa milele.
2 Samueli 7:17 - Swahili Revised Union Version Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya. Neno: Maandiko Matakatifu Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya. BIBLIA KISWAHILI Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi. |
Na nyumba yako, na ufalme wako, vitathibitishwa milele mbele yako. Nacho kiti chako kitaimarishwa milele.
Ndipo Daudi, mfalme, akaingia, akaketi mbele za BWANA, akasema, Mimi ni nani, Bwana MUNGU, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hadi hapa?
mfalme akamwambia Nathani, nabii, Angalia sasa, mimi ninakaa katika nyumba ya mierezi, bali sanduku la Mungu linakaa ndani ya mapazia.
ya kuwa sikujiepusha katika kuwatangazia neno lolote liwezalo kuwafaa bali niliwafundisha waziwazi, na nyumba kwa nyumba,
Kwa maana niliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo Maandiko;