na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;
2 Samueli 23:36 - Swahili Revised Union Version na Igali, mwana wa Nathani, wa Soba, na Bani, Mgadi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Igali mwana wa Nathani, Msoba; Bani, Mgadi; Biblia Habari Njema - BHND Igali mwana wa Nathani, Msoba; Bani, Mgadi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Igali mwana wa Nathani, Msoba; Bani, Mgadi; Neno: Bibilia Takatifu Igali mwana wa Nathani kutoka Soba; Bani Mgadi; Neno: Maandiko Matakatifu Igali mwana wa Nathani kutoka Soba; Bani, Mgadi; BIBLIA KISWAHILI na Igali, mwana wa Nathani, wa Soba, na Bani, Mgadi; |
na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;
Tena Daudi akampiga Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba, alipokwenda kujipatia tena mamlaka yake huko Mtoni.