Basi mfalme Daudi alipofika Bahurimu, tazama, kulitoka huko mtu wa jamaa ya nyumba ya Sauli, jina lake akiitwa Shimei, mwana wa Gera; alitoka, akalaani alipokuwa akienda.
2 Samueli 23:31 - Swahili Revised Union Version na Abieli, Mwarbathi, na Azmawethi, Mbarhumi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Abialboni, Mwarbathi; Azmawethi, Mbahurimu; Biblia Habari Njema - BHND Abialboni, Mwarbathi; Azmawethi, Mbahurimu; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Abialboni, Mwarbathi; Azmawethi, Mbahurimu; Neno: Bibilia Takatifu Abi-Alboni Mwaribathi; Azmawethi Mbarhumi; Neno: Maandiko Matakatifu Abi-Alboni, Mwaribathi; Azmawethi, Mbarhumi; BIBLIA KISWAHILI na Abieli, Mwarbathi, na Azmawethi, Mbarhumi; |
Basi mfalme Daudi alipofika Bahurimu, tazama, kulitoka huko mtu wa jamaa ya nyumba ya Sauli, jina lake akiitwa Shimei, mwana wa Gera; alitoka, akalaani alipokuwa akienda.
Huyo mumewe akafuatana naye, huku akilia, akamfuata mpaka Bahurimu. Ndipo Abneri akamwambia, Haya, rudi. Naye akarudi.
Mkubwa wao alikuwa Ahiezeri, kisha Yoashi, wana wa Shemaa Mgibeathi; na Yezieli, na Peleti, wana wa Azmawethi; na Beraka, na Yehu Mwanathothi;
Na juu ya hazina za mfalme alikuwa Azmawethi mwana wa Adieli; na juu ya hazina za mashambani, za mijini, na vijijini, na ngomeni, alikuwa Yonathani mwana wa Uzia;