Kamanda wa tano wa mwezi wa tano alikuwa Shamhuthi, Mwizrahi; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
2 Samueli 23:25 - Swahili Revised Union Version na Shama, Mharodi, na Elika, Mharodi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shama, Mharodi; Elika, Mharodi; Biblia Habari Njema - BHND Shama, Mharodi; Elika, Mharodi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shama, Mharodi; Elika, Mharodi; Neno: Bibilia Takatifu Shama Mharodi; Elika Mharodi; Neno: Maandiko Matakatifu Shama, Mharodi; Elika, Mharodi; BIBLIA KISWAHILI na Shama, Mharodi, na Elika, Mharodi; |
Kamanda wa tano wa mwezi wa tano alikuwa Shamhuthi, Mwizrahi; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Kisha Yerubaali, yaani Gideoni, na watu wote waliokuwa pamoja naye wakaondoka asubuhi na mapema, wakapiga kambi yao karibu na kijito cha Harodi; na kambi ya Midiani ilikuwa upande wao wa kaskazini, karibu na mlima wa More, bondeni.