2 Samueli 22:35 - Swahili Revised Union Version Ananifundisha mikono yangu vita; Hata mikono yangu inaupanda upinde wa shaba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hunifunza kupigana vita, mikono yangu iweze kuvuta upinde wa shaba. Biblia Habari Njema - BHND Hunifunza kupigana vita, mikono yangu iweze kuvuta upinde wa shaba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hunifunza kupigana vita, mikono yangu iweze kuvuta upinde wa shaba. Neno: Bibilia Takatifu Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. Neno: Maandiko Matakatifu Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. BIBLIA KISWAHILI Ananifundisha mikono yangu vita; Hata mikono yangu inaupinda upinde wa shaba. |
Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu, Aifundishaye mikono yangu vita, Na vidole vyangu kupigana.
nami nitaupiga upinde wako, utoke katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako nitaiangusha, itoke katika mkono wako wa kulia.
Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.