Akaniokoa na adui yangu mwenye nguvu, Na wale walionichukia; Maana walikuwa na nguvu kuliko mimi.
2 Samueli 22:19 - Swahili Revised Union Version Walinikabili siku ya msiba wangu; Lakini BWANA alikuwa tegemeo langu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu. Biblia Habari Njema - BHND Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu. Neno: Bibilia Takatifu Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Mwenyezi Mungu alikuwa msaada wangu. Neno: Maandiko Matakatifu Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini bwana alikuwa msaada wangu. BIBLIA KISWAHILI Walinikabili siku ya msiba wangu; Lakini BWANA alikuwa tegemeo langu. |
Akaniokoa na adui yangu mwenye nguvu, Na wale walionichukia; Maana walikuwa na nguvu kuliko mimi.
Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Wafu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka; amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa.
usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kulia wa haki yangu.
Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA, aitiiye sauti ya mtumishi wake? Yeye aendaye katika giza, wala hana nuru, naye alitumainia jina la BWANA, na kumtegemea Mungu wake.