Akaniokoa na adui yangu mwenye nguvu, Na wale walionichukia; Maana walikuwa na nguvu kuliko mimi.
2 Samueli 22:17 - Swahili Revised Union Version Alipeleka kutoka juu, akanishika; Akanitoa katika maji mengi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Mungu alinyosha mkono wake toka juu, akanichukua, kutoka kwenye maji mengi alininyanyua. Biblia Habari Njema - BHND “Mungu alinyosha mkono wake toka juu, akanichukua, kutoka kwenye maji mengi alininyanyua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Mungu alinyosha mkono wake toka juu, akanichukua, kutoka kwenye maji mengi alininyanyua. Neno: Bibilia Takatifu “Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. Neno: Maandiko Matakatifu “Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. BIBLIA KISWAHILI Alipeleka kutoka juu, akanishika; Akanitoa katika maji mengi; |
Akaniokoa na adui yangu mwenye nguvu, Na wale walionichukia; Maana walikuwa na nguvu kuliko mimi.
Uinyoshe mikono yako toka juu, uniponye, Unitoe katika maji mengi, kutoka kwa mkono wa wageni,
Kwa hiyo, hebu kila akuaminiye Akuombe awapo katika dhiki. Hakika maji makuu yafurikapo, Hayatamfikia yeye.
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
Kisha akaniambia, Yale maji uliyoyaona, hapo aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.