Basi watu wa Yuda wakaenda, wakamtia Daudi mafuta huko, awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda. Wakamwambia Daudi wakasema, Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.
2 Samueli 21:11 - Swahili Revised Union Version Kisha Daudi akaambiwa hayo aliyoyafanya huyo Rispa binti Aya, suria wa Sauli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli, Biblia Habari Njema - BHND Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli, Neno: Bibilia Takatifu Daudi alipoambiwa kile Rispa binti Aya, suria wa Sauli, alichokuwa amekifanya, Neno: Maandiko Matakatifu Daudi alipoambiwa kile Rispa binti Aiya, suria wa Sauli, alichokuwa amekifanya, BIBLIA KISWAHILI Kisha Daudi akaambiwa hayo aliyoyafanya huyo Rispa binti Aya, suria wa Sauli. |
Basi watu wa Yuda wakaenda, wakamtia Daudi mafuta huko, awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda. Wakamwambia Daudi wakasema, Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.
Naye Rispa, binti Aya, akatwaa nguo ya magunia akajitandikia mwambani, tangu mwanzo wa mavuno hadi waliponyeshewa mvua toka mbinguni; wala hakuacha ndege wa angani kukaa juu yao mchana, wala wanyama wa mwitu usiku.
Akaenda Daudi, akaitwaa mifupa ya Sauli na mifupa ya Yonathani mwanawe mikononi mwa watu wa Yabesh-gileadi; waliyoiiba katika njia ya Beth-sheani, hapo Wafilisti walipowatungika, katika siku hiyo waliyomwua Sauli huko Gilboa;