Na tazama, Sadoki naye akaja, na Walawi wote pamoja naye, huku wakilichukua sanduku la Agano la Mungu; kisha wakalitua hilo sanduku la Mungu; Abiathari naye akapanda juu, hadi watu wote walipokwisha kuutoka mji.
2 Samueli 20:25 - Swahili Revised Union Version na Shausha mwandishi; na Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shausha alikuwa katibu; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani. Biblia Habari Njema - BHND Shausha alikuwa katibu; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shausha alikuwa katibu; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani. Neno: Bibilia Takatifu Sheva alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani; Neno: Maandiko Matakatifu Sheva alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani; BIBLIA KISWAHILI na Shausha mwandishi; na Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani. |
Na tazama, Sadoki naye akaja, na Walawi wote pamoja naye, huku wakilichukua sanduku la Agano la Mungu; kisha wakalitua hilo sanduku la Mungu; Abiathari naye akapanda juu, hadi watu wote walipokwisha kuutoka mji.
na Sadoki, mwana wa Ahitubu, na Ahimeleki, mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; na Shausha mwandishi;
Akashauriana na Yoabu, mwana wa Seruya, na Abiathari, kuhani; nao wakamsaidia Adonia, wakamfuata.
Ila Sadoki, kuhani, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Nathani, nabii, na Shimei, na Rei, na mashujaa wa Daudi, hao hawakuwa pamoja na Adonia.
na Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa jemadari wa jeshi; na Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani;
Na Sadoki mwana wa Ahitubu, na Ahimeleki mwana wa Abiathari, walikuwa makuhani; na Shausha mwandishi;