1 Wafalme 1:7 - Swahili Revised Union Version7 Akashauriana na Yoabu, mwana wa Seruya, na Abiathari, kuhani; nao wakamsaidia Adonia, wakamfuata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Adoniya akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya, na kuhani Abiathari; nao wakamfuata na kumuunga mkono. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Adoniya akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya, na kuhani Abiathari; nao wakamfuata na kumuunga mkono. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Adoniya akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya, na kuhani Abiathari; nao wakamfuata na kumuunga mkono. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Adoniya akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya, na kuhani Abiathari, nao wakamsaidia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Adoniya akashauriana pamoja na Yoabu mwana wa Seruya na kuhani Abiathari, nao wakamsaidia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Akashauriana na Yoabu, mwana wa Seruya, na Abiathari, kuhani; nao wakamsaidia Adonia, wakamfuata. Tazama sura |