Basi sasa kusanya watu waliobaki, ukauzunguke mji, na kuutwaa; nisije mimi nikautwaa mji, ukaitwe jina langu.
2 Samueli 12:29 - Swahili Revised Union Version Basi Daudi akawakusanya watu wote akaenda Raba, akapigana nao, akautwaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo. Biblia Habari Njema - BHND Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo Daudi akakusanya jeshi lote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo Daudi akakusanya jeshi lote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka. BIBLIA KISWAHILI Basi Daudi akawakusanya watu wote akaenda Raba, akapigana nao, akautwaa. |
Basi sasa kusanya watu waliobaki, ukauzunguke mji, na kuutwaa; nisije mimi nikautwaa mji, ukaitwe jina langu.
Kisha akamnyang'anya mfalme wao taji toka kichwani pake; na uzani wake ulikuwa talanta ya dhahabu, nalo lilikuwa na vito vya thamani ndani yake; akavikwa Daudi kichwani. Akazitoa nyara za huo mji, nyingi sana.
Ikawa, Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi, mwana wa Nahashi wa Raba, wa wana wa Amoni, na Makiri, mwana wa Amieli wa Lo-debari, na Barzilai, Mgileadi wa Rogelimu,