nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.
2 Petro 3:6 - Swahili Revised Union Version kwa hayo dunia ile ya wakati ule iligharikishwa na maji, ikaangamia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa. Biblia Habari Njema - BHND na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa. Neno: Bibilia Takatifu Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa. Neno: Maandiko Matakatifu Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa. BIBLIA KISWAHILI kwa hayo dunia ile ya wakati ule iligharikishwa na maji, ikaangamia. |
nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.
Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote.
wala hakuuachilia ulimwengu wa kale, bali alimhifadhi Nuhu, mjumbe wa haki, na watu wengine saba, hapo alipoleta Gharika juu ya ulimwengu wa wasiomcha Mungu;