Basi nabii mmoja mzee alikuwa akikaa katika Betheli; na wanawe wakamwendea wakamwambia kila neno alilolitenda yule mtu wa Mungu siku ile katika Betheli; na maneno aliyomwambia mfalme, hayo nayo walimwambia baba yao.
1 Wafalme 13:10 - Swahili Revised Union Version Basi akaenda zake kwa njia nyingine, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Biblia Habari Njema - BHND Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo, akafuata njia nyingine na hakurudi kupitia njia aliyokuwa ameijia Betheli. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo akafuata njia nyingine na hakurudi kupitia njia ile ambayo alikuwa ameijia Betheli. BIBLIA KISWAHILI Basi akaenda zake kwa njia nyingine, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. |
Basi nabii mmoja mzee alikuwa akikaa katika Betheli; na wanawe wakamwendea wakamwambia kila neno alilolitenda yule mtu wa Mungu siku ile katika Betheli; na maneno aliyomwambia mfalme, hayo nayo walimwambia baba yao.
maana ndivyo nilivyoagizwa kwa neno la BWANA, kusema, Usile chakula chochote wala usinywe maji, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.