1 Wafalme 11:10 - Swahili Revised Union Version akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Ingawa alikuwa amemkataza Sulemani kufuata miungu mingine, Sulemani hakutii amri ya Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Ingawa alikuwa amemkataza Sulemani kufuata miungu mingine, Sulemani hakutii amri ya bwana. BIBLIA KISWAHILI akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru BWANA. |