Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisini na tisa, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea?
1 Timotheo 1:6 - Swahili Revised Union Version Wengine wakiyakosa hayo wamegeukia maneno ya ubatili; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana. Biblia Habari Njema - BHND Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana. Neno: Bibilia Takatifu Watu wengine wamepotoka kutoka haya na kugeukia majadiliano yasiyo na maana kwa kuwa, Neno: Maandiko Matakatifu Watu wengine wamepotoka kutoka haya na kugeukia majadiliano yasiyo na maana kwa kuwa, BIBLIA KISWAHILI Wengine wakiyakosa hayo wamegeukia maneno ya ubatili; |
Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisini na tisa, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea?
waliopotoka kutoka kwenye kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha tokea, hata kuipindua imani ya watu kadhaa.
Maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu huu wa sasa, akasafiri kwenda Thesalonike; Kreske amekwenda Galatia; Tito amekwenda Dalmatia.
Kwa maana kuna wengi wasiotii, wenye maneno yasiyo na maana, wadanganyaji, na hasa wale wa tohara, ambao yapasa wazibwe vinywa vyao.
Lakini ujiepushe na mabishano ya kipumbavu, nasaba, magomvi, na mabishano ya sheria. Kwa kuwa hayana manufaa, tena hayafai kitu.