Naye atawaweka kwake kuwa wakuu juu ya maelfu, na makamanda juu ya hamsini hamsini; na wengine atawaweka walime shamba lake, na kuvuna mavuno yake, na kufanyiza zana zake za vita, na vyombo vya magari yake.
1 Samueli 8:13 - Swahili Revised Union Version Na binti zenu atawatwaa kuwa watengenezaji wa marhamu, wapishi na waokaji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate. Biblia Habari Njema - BHND Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate. Neno: Bibilia Takatifu Atawachukua binti zenu kuwa watengeneza manukato, wapishi na waokaji. Neno: Maandiko Matakatifu Atawachukua binti zenu kuwa watengeneza manukato, wapishi na waokaji. BIBLIA KISWAHILI Na binti zenu atawatwaa kuwa watengenezaji wa marhamu, wapishi na waokaji. |
Naye atawaweka kwake kuwa wakuu juu ya maelfu, na makamanda juu ya hamsini hamsini; na wengine atawaweka walime shamba lake, na kuvuna mavuno yake, na kufanyiza zana zake za vita, na vyombo vya magari yake.
Atatwaa mashamba yenu, na mashamba yenu ya mizabibu, na ya mizeituni, yale yaliyo mazuri sana, ili awape watumishi wake.