1 Samueli 30:28 - Swahili Revised Union Version na kwa hao wa Aroeri, na kwa hao wa Sifmothi, na kwa hao wa Eshtemoa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakazi wa Aroeri, wakazi wa Sifmothi, wakazi wa Eshtemoa, Biblia Habari Njema - BHND wakazi wa Aroeri, wakazi wa Sifmothi, wakazi wa Eshtemoa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakazi wa Aroeri, wakazi wa Sifmothi, wakazi wa Eshtemoa, Neno: Bibilia Takatifu kwa wale walio Aroeri, Sifmothi, Eshtemoa Neno: Maandiko Matakatifu kwa wale walioko Aroeri, Sifmothi, Eshtemoa BIBLIA KISWAHILI na kwa hao wa Aroeri, na kwa hao wa Sifmothi, na kwa hao wa Eshtemoa; |
na juu ya mashamba ya mizabibu alikuwa Shimei, Mramathi; na juu ya mazao ya mizabibu kwa ghala za mvinyo alikuwa Zabdi, Mshifmi;
Mpaka wao ulikuwa kutoka hapo Aroeri, iliyo pale ukingoni mwa bonde la Arnoni, na huo mji ulio katikati ya bonde, na nchi tambarare yote iliyo karibu na Medeba;