Yonathani akampigia mtoto kelele, Haya! Hima! Usikawie. Mtoto wa Yonathani akaikusanya mishale, akaenda kwa bwana wake.
1 Samueli 20:39 - Swahili Revised Union Version Lakini yule mtoto hakujua lolote. Yonathani na Daudi ndio walioijua habari yenyewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu. Neno: Bibilia Takatifu (Mvulana hakujua chochote kuhusu hayo yote; Yonathani na Daudi tu ndio waliojua.) Neno: Maandiko Matakatifu (Mvulana hakujua chochote juu ya hayo yote; Yonathani na Daudi tu ndio waliojua.) BIBLIA KISWAHILI Lakini yule mtoto hakujua lolote. Yonathani na Daudi ndio walioijua habari yenyewe. |
Yonathani akampigia mtoto kelele, Haya! Hima! Usikawie. Mtoto wa Yonathani akaikusanya mishale, akaenda kwa bwana wake.