1 Samueli 18:15 - Swahili Revised Union Version Sauli alipoona ya kwamba alitenda kwa busara sana, yeye alimwogopa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shauli alipoona kufanikiwa kwa Daudi, akawa anamwogopa. Biblia Habari Njema - BHND Shauli alipoona kufanikiwa kwa Daudi, akawa anamwogopa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shauli alipoona kufanikiwa kwa Daudi, akawa anamwogopa. Neno: Bibilia Takatifu Sauli alipoona jinsi alivyokuwa akifanikiwa, akamwogopa. Neno: Maandiko Matakatifu Sauli alipoona jinsi alivyokuwa akifanikiwa, akamwogopa. BIBLIA KISWAHILI Sauli alipoona ya kwamba alitenda kwa busara sana, yeye alimwogopa. |
Lakini mmoja wenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki.
Lakini Israeli wote na Yuda wakampenda Daudi; kwa kuwa aliwaongoza wakienda na kurudi vitani.