1 Samueli 18:12 - Swahili Revised Union Version12 Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu BWANA alikuwa pamoja naye, ila amemwacha Sauli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Daudi, lakini alikuwa amemwacha yeye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu bwana alikuwa pamoja na Daudi, lakini alikuwa amemwacha yeye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu BWANA alikuwa pamoja naye, ila amemwacha Sauli. Tazama sura |