Baada ya mambo hayo neno la BWANA likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako itakuwa kubwa sana.
1 Samueli 15:10 - Swahili Revised Union Version Ndipo neno la BWANA likamjia Samweli, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, Neno: Bibilia Takatifu Kisha neno la Mwenyezi Mungu likamjia Samweli kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Kisha neno la bwana likamjia Samweli kusema: BIBLIA KISWAHILI Ndipo neno la BWANA likamjia Samweli, kusema, |
Baada ya mambo hayo neno la BWANA likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako itakuwa kubwa sana.
Najuta kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme; maana amerudi nyuma, asinifuate, wala hakufanya nilivyomwamuru. Samweli akasikitika, akamlilia BWANA usiku kucha.
Lakini Sauli na watu wake wakamwacha Agagi hai, na katika kondoo walio wazuri, na ng'ombe, na vinono, na wana-kondoo, na chochote kilicho chema, wala hawakukubali kuwaangamiza; bali chochote kilichokuwa kibaya na kisichofaa, ndicho walichoangamiza kabisa.