Naye atamchinja huyo ng'ombe mbele ya BWANA; kisha wana wa Haruni, hao makuhani, wataileta karibu hiyo damu, na kuinyunyiza damu yake kandokando katika madhabahu iliyo hapo mlangoni pa hema ya kukutania
1 Samueli 1:25 - Swahili Revised Union Version Nao wakamchinja huyo ng'ombe, wakamleta mtoto kwa Eli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipokwisha kumchinja yule fahali, walimpeleka mtoto kwa kuhani Eli. Biblia Habari Njema - BHND Walipokwisha kumchinja yule fahali, walimpeleka mtoto kwa kuhani Eli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipokwisha kumchinja yule fahali, walimpeleka mtoto kwa kuhani Eli. Neno: Bibilia Takatifu Walipokwisha kumchinja yule fahali, wakamleta mtoto kwa Eli, Neno: Maandiko Matakatifu Walipokwisha kumchinja yule fahali, wakamleta mtoto kwa Eli, BIBLIA KISWAHILI Nao wakamchinja huyo ng'ombe, wakamleta mtoto kwa Eli. |
Naye atamchinja huyo ng'ombe mbele ya BWANA; kisha wana wa Haruni, hao makuhani, wataileta karibu hiyo damu, na kuinyunyiza damu yake kandokando katika madhabahu iliyo hapo mlangoni pa hema ya kukutania
Kisha, zilipotimia siku za kutakasika kwao, kama ilivyo Torati ya Musa walikwenda naye hata Yerusalemu, wamweke kwa Bwana,