Zekaria 8:15 - Swahili Revised Union Version15 vivyo hivyo nimeazimia katika siku hizi kuutendea Yerusalemu mema, na nyumba ya Yuda pia; msiogope. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 vivyo hivyo nimekusudia kuutendea wema mji wa Yerusalemu na watu wa Yuda. Basi, msiogope. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 vivyo hivyo nimekusudia kuutendea wema mji wa Yerusalemu na watu wa Yuda. Basi, msiogope. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 vivyo hivyo nimekusudia kuutendea wema mji wa Yerusalemu na watu wa Yuda. Basi, msiogope. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 “hivyo sasa nimeazimia kufanya mema tena kwa Yerusalemu na Yuda. Msiogope. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “hivyo sasa nimeazimia kufanya mema tena kwa Yerusalemu na Yuda. Msiogope. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 vivyo hivyo nimeazimia katika siku hizi kuutendea Yerusalemu mema, na nyumba ya Yuda pia; msiogope. Tazama sura |