Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Zekaria 8:11 - Swahili Revised Union Version

11 Lakini sasa sitakuwa kwa mabaki ya watu hawa kama nilivyokuwa siku zile za kwanza, asema BWANA wa majeshi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Lakini sasa sitawatendea hao watu wa taifa hili waliosalia kama hapo zamani. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Lakini sasa sitawatendea hao watu wa taifa hili waliosalia kama hapo zamani. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Lakini sasa sitawatendea hao watu wa taifa hili waliosalia kama hapo zamani. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Lakini sasa sitawatendea mabaki ya watu hawa kama nilivyowatenda zamani,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Lakini sasa sitawatendea mabaki ya watu hawa kama nilivyowatenda zamani,” asema bwana Mwenye Nguvu Zote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Lakini sasa sitakuwa kwa mabaki ya watu hawa kama nilivyokuwa siku zile za kwanza, asema BWANA wa majeshi.

Tazama sura Nakili

Zekaria 8:11
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye hatashutumu daima, Wala hatashika hasira yake milele.

Na wivu wa Efraimu utaondoka, na wale wanaomwudhi Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamhusudu Yuda, wala Yuda hatamwudhi Efraimu.

Na katika siku hiyo utasema, Ee BWANA, nitakushukuru wewe; Kwa kuwa ijapokuwa ulinikasirikia, Hasira yako imegeukia mbali, Nawe unanifariji moyo.

Na sasa nawaomba, tafakarini; tangu siku hii na siku zilizopita; kabla jiwe halijatiwa juu ya jiwe katika nyumba ya BWANA;

Je, Mbegu ingali ghalani? Naam, huo mzabibu, wala mtini, wala mkomamanga, wala mzeituni, haikuzaa kitu; tangu siku hii ya leo nitawabariki.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo