Zekaria 3:10 - Swahili Revised Union Version10 Katika siku ile, asema BWANA wa majeshi, ninyi mtamwalika kila mtu jirani yake chini ya mzabibu, na chini ya mtini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Siku hiyo, kila mmoja wenu atamwalika mwenzake kufurahia amani na utulivu katika shamba lake la mizabibu na la mitini.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Siku hiyo, kila mmoja wenu atamwalika mwenzake kufurahia amani na utulivu katika shamba lake la mizabibu na la mitini.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Siku hiyo, kila mmoja wenu atamwalika mwenzake kufurahia amani na utulivu katika shamba lake la mizabibu na la mitini.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “ ‘Katika siku hiyo kila mmoja wenu atamwalika jirani yake akae chini ya mzabibu wake na mtini wake,’ asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “ ‘Katika siku hiyo kila mmoja wenu atamwalika jirani yake akae chini ya mzabibu wake na mtini wake,’ asema bwana Mwenye Nguvu Zote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Katika siku ile, asema BWANA wa majeshi, ninyi mtamwalika kila mtu jirani yake chini ya mzabibu, na chini ya mtini. Tazama sura |