Zekaria 14:3 - Swahili Revised Union Version3 Hapo ndipo atakapotokea BWANA, naye atapigana na mataifa hayo, kama anavyopigana siku ya vita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kisha Mwenyezi-Mungu atatoka na kuyapiga vita mataifa hayo, kama afanyavyo daima siku za vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kisha Mwenyezi-Mungu atatoka na kuyapiga vita mataifa hayo, kama afanyavyo daima siku za vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kisha Mwenyezi-Mungu atatoka na kuyapiga vita mataifa hayo, kama afanyavyo daima siku za vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha Mwenyezi Mungu atatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha bwana atatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya vita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Hapo ndipo atakapotokea BWANA, naye atapigana na mataifa hayo, kama anavyopigana siku ya vita. Tazama sura |