Zekaria 14:11 - Swahili Revised Union Version11 Na watu watakaa ndani yake, wala hakutakuwako laana tena; lakini Yerusalemu utakaa salama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mji wa Yerusalemu utakaliwa na watu kwani ndani yake haitakuwapo laana tena; naam, watu watakaa humo kwa usalama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mji wa Yerusalemu utakaliwa na watu kwani ndani yake haitakuwapo laana tena; naam, watu watakaa humo kwa usalama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mji wa Yerusalemu utakaliwa na watu kwani ndani yake haitakuwapo laana tena; naam, watu watakaa humo kwa usalama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Utakaliwa na watu, kamwe hautaharibiwa tena, Yerusalemu utakaa salama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Utakaliwa na watu, kamwe hautaharibiwa tena, Yerusalemu utakaa salama. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Na watu watakaa ndani yake, wala hakutakuwako laana tena; lakini Yerusalemu utakaa salama. Tazama sura |
Siku hiyo nitawafanya wakuu wa Yuda kuwa kama kigae chenye moto katika kuni, na kama kinga cha moto katika miganda; nao watateketeza watu wa kila kabila, wawazungukao pande zote, upande wa mkono wa kulia na upande wa mkono wa kushoto; na baada ya haya Yerusalemu utakaa mahali pake, naam, hapo Yerusalemu.