Zekaria 11:3 - Swahili Revised Union Version3 Sikiza, maombolezo ya wachungaji, Kwa maana utukufu wao umeharibiwa; Sikiza, ngurumo za simba, Kwa maana vichaka vya Yordani vimeharibiwa! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Sikia maombolezo ya watawala! Fahari yao imeharibiwa! Sikia ngurumo za simba! Pori la mto Yordani limeharibiwa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Sikia maombolezo ya watawala! Fahari yao imeharibiwa! Sikia ngurumo za simba! Pori la mto Yordani limeharibiwa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Sikia maombolezo ya watawala! Fahari yao imeharibiwa! Sikia ngurumo za simba! Pori la mto Yordani limeharibiwa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Sikiliza yowe la wachungaji; malisho yao manono yameangamizwa! Sikia ngurumo za simba; kichaka kilichostawi sana cha Yordani kimeharibiwa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Sikiliza yowe la wachungaji; malisho yao manono yameangamizwa! Sikia ngurumo za simba; kichaka kilichostawi sana cha Yordani kimeharibiwa! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Sikiliza, maombolezo ya wachungaji, Kwa maana utukufu wao umeharibiwa; Sikiliza, ngurumo za simba, Kwa maana vichaka vya Yordani vimeharibiwa! Tazama sura |