Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zekaria 1:13 - Swahili Revised Union Version

13 Naye BWANA akamjibu yule malaika aliyesema nami kwa maneno mazuri, maneno yenye faraja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kwa hiyo Mwenyezi Mungu akazungumza maneno ya upole na ya kufariji kwa malaika aliyezungumza nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kwa hiyo bwana akazungumza maneno ya upole na ya kufariji kwa malaika aliyezungumza nami.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Naye BWANA akamjibu yule malaika aliyesema nami kwa maneno mazuri, maneno yenye faraja.

Tazama sura Nakili




Zekaria 1:13
14 Marejeleo ya Msalaba  

Nimeziona njia zake; nami nitamponya; nitamwongoza pia, nitamrudishia faraja zake, yeye na hao wanaomlilia.


Maana BWANA asema hivi, Babeli utakapotimiziwa miaka sabini, nitawajia ninyi, na kulitimiza neno langu jema kwenu, kwa kuwarudisha mahali hapa.


Na mmoja akamwuliza yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, Je! Itakuwa muda wa miaka mingapi hata mwisho wa mambo haya ya ajabu?


Ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, ni nini hawa? Basi yule malaika aliyesema nami akaniambia, Nitakuonesha ni nini hawa.


Na yule malaika aliyesema nami akanijia mara ya pili, akaniamsha, kama mtu aamshwavyo katika usingizi wake.


BWANA wa majeshi asema hivi, Saumu ya mwezi wa nne, na saumu ya mwezi wa tano, na saumu ya mwezi wa saba, na saumu ya mwezi wa kumi, zitakuwa furaha na shangwe, na sikukuu za kuchangamkia, kwa nyumba ya Yuda; basi zipendeni kweli na amani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo