Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 99:9 - Swahili Revised Union Version

9 Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu; Maana BWANA, Mungu wetu, ni mtakatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; abuduni katika mlima wake mtakatifu! Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ni mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; abuduni katika mlima wake mtakatifu! Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ni mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; abuduni katika mlima wake mtakatifu! Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ni mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mtukuzeni Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, ni mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Mtukuzeni bwana Mwenyezi Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana bwana Mwenyezi Mungu wetu ni mtakatifu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu; Maana BWANA, Mungu wetu, ni mtakatifu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 99:9
15 Marejeleo ya Msalaba  

Na tuingie katika maskani yake, Tusujudu penye kiti cha kuwekea miguu yake.


Nami nimemweka mfalme wangu Juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.


Na walisifu jina lake kuu litishalo; Ndiye mtakatifu.


Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni penye kiti cha miguu yake; Ndiye mtakatifu.


bali BWANA wa majeshi ametukuzwa katika hukumu, na Mungu aliye Mtakatifu ametakaswa katika haki.


Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.


Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.


Ee BWANA, Mungu wangu, mtakatifu wangu, wewe si wa milele? Hatutakufa. Ee BWANA, umemwandikia hukumu, nawe, Ee Jabali, umemweka imara ili aadhibishwe.


Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.


Na kwa malaika wa kanisa lililoko Filadelfia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye mtakatifu, aliye wa kweli, aliye na ufunguo wa Daudi, yeye mwenye kufungua wala hapana afungaye, naye afunga wala hapana afunguaye.


Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja.


Hakuna aliye mtakatifu kama BWANA; Kwa maana hakuna yeyote ila wewe, Wala hakuna mwamba kama Mungu wetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo