Zaburi 99:7 - Swahili Revised Union Version7 Akasema nao katika nguzo ya wingu. Wakashika shuhuda zake na amri aliyowapa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Alisema nao katika mnara wa wingu; waliyazingatia matakwa yake na amri alizowapa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Alisema nao katika mnara wa wingu; waliyazingatia matakwa yake na amri alizowapa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Alisema nao katika mnara wa wingu; waliyazingatia matakwa yake na amri alizowapa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Alizungumza nao kutoka nguzo ya wingu; walizishika sheria zake na amri alizowapa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Alizungumza nao kutoka nguzo ya wingu; walizishika sheria zake na amri alizowapa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Akasema nao katika nguzo ya wingu. Wakashika shuhuda zake na amri aliyowapa. Tazama sura |