Zaburi 99:5 - Swahili Revised Union Version5 Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni penye kiti cha miguu yake; Ndiye mtakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; angukeni kifudifudi mbele zake. Mtakatifu ndiye yeye! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; angukeni kifudifudi mbele zake. Mtakatifu ndiye yeye! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; angukeni kifudifudi mbele zake. Mtakatifu ndiye yeye! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mtukuzeni Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; yeye ni mtakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mtukuzeni bwana Mwenyezi Mungu wetu, na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; yeye ni mtakatifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni penye kiti cha miguu yake; Ndiye mtakatifu. Tazama sura |